Jumanne, 22 Desemba 2015

hatua ya kwanza



Jifunze kupiga gitaa kwa lugha ya kiswahili hapa.
Kabla ya kutaka kujifunza kupiga gitaa inatakiwa kujua
.Aina ya gitaa
.Aina na majina ya nyuzi
.Chords
.Ushikajl wa gitaa
.Sehemu za gitaa
              
            .aina na majina ya nyuzi
Kuna magitaa yenye nyuzi sita
.Nyuzi ndogo kuliko zote inaitwa E
.Inayofuta inaitwa B
.Inayofuata inaitwa G
.Inayofuata inaitwa D
Inayofuata inaitwa A
.Kubwa kuliko zote inaitwa E

          sehemu za gitaa
.sehemu ambayo inatumika kukazia nyuzi inatwa tunning machine
.sehemu ambayo tunning machine zipo inaitwa head stock
.sehemu ambayo zipo kama ngazi ngazi uitwa neck
.na izo ngazi ngazi uitwa flet
.nasehemu kumba ya mviringo uitwa body
.na sehemu ambayo ngazi uanzia inaitwa bridge
.na tundu la katikati uitwa sound hole
 
             chords
hapa ndo sehemu ambayo inatoa sauti fulani unayoitaka
ukitaka kupiga nyimbo yoyote unabudi kujia chord yake
unapobadilisha badilisha chords ndo mdundo utokea
kuna aina nyingi za chords kuna
minor
.g
.d
.e
.c
     jinsi ya kupiga chord e minor
katika flet ya pili kutoka kwenye head stock unaikandamiza nyuzi d na a arafu
unapiga nyuzi zote kandamiza kwa nguvu na sauti itabadilika

      jinsi ya kupiga c minor
kidole cha kwanza unabonyeza katika nyuzi ya a katika flet ya tatu
kidole kingine unabonyeza nyuzi d katika flet ya pili
kidole kidole kingine unakandamiza nyuzi d katika flet ya kwanza
arafu unapiga zote kasoro kubwa piga kwa nguvu  na akikisha
vidole vimekandamiza kwa nguvu na utasikia sauti ikitoka

       

Maoni 1 :

  1. Sands Casino and Hotel
    Sands Casino & Hotel is located at the south 메리트카지노 end of septcasino Downtown Las Vegas. At Sands Casino, enjoy an incredible selection of gaming, dining, and entertainment ‎Restaurants · ‎Casino · 제왕카지노 ‎Golf · ‎Golf

    JibuFuta